Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umewahi kuuza hata ubuyu wa kufunga?Wengi wao hawataki katakata kutoa risiti halali kwa malipo halali. Unanunua bidhaa kwa bei kubwa wanakupa risiti yenye malipo pungufu. Ukikataa wanakwambia rudisha mali.
Fukuza wote wenye tabia hii hata kama awe nani.
Yupo Dodoma.Huwa anaangua mwenyewe kwenye miti.Hivi umewahi kuuza hata ubuyu wa kufunga?
Sasa katika nchi kama hii ya kwetu iliyotawaliwa na matumizi makubwa ya fedha za hao walipa kodi serikalini kwenue mambo ya anasa, upigaji uliotamalaki, ubadhirifu wa mali ya umma, rushwa iliyoshamiri, ufisadi, kujilimbikizia mali kwa viongozi wa ngazi za juu na wale wenye dhamana, ukosefu wa uwazi kwenye matumizi ya fedha za serikali, nk.Wengi wao hawataki katakata kutoa risiti halali kwa malipo halali. Unanunua bidhaa kwa bei kubwa wanakupa risiti yenye malipo pungufu. Ukikataa wanakwambia rudisha mali.
Fukuza wote wenye tabia hii hata kama awe nani.
Hoja hapa ingekuwa ni kwanini wafanyabiashara wa kariakoo wanatoa risiti zenye malipo pungufu kuliko uhalisia. Serikali na TRA ingefanya utafiti kubaini kwanini kuna udanganyifu wa aina hii.Sasa katika nchi kama hii ya kwetu iliyotawaliwa na matumizi makubwa ya fedha za hao walipa kodi serikalini kwenue mambo ya anasa, upigaji uliotamalaki, ubadhirifu wa mali ya umma, rushwa iliyoshamiri, ufisadi, kujilimbikizia mali kwa viongozi wa ngazi za juu na wale wenye dhamana, ukosefu wa uwazi kwenye matumizi ya fedha za serikali, nk.
Unakosa wapi ujasiri wa kukwepa kodi? Kwanza kodi yenyewe siyo rafiki kwa walipa kodi. Na uzuri naongea kama mmoja ya hao walipa kodi TRA.
Hakuna demokrasia kwenye kukusanya kodi, wakoloni walikusanya kodi kwa nguvu na wanaendelea kukusanya kwa nguvu huko kwao hadi leo. Wachina wanakusanya kodi hata ikibidi kunyongana hadi kufa kwa mkwepaji. Serikali inawaoenea watumishi tu ambao hawana namna ya kukwepa kodi.Biashara zilizosajiliwa karikakoo no 40,000 kodi ya kimkoa inayokusanywa tsh 14 billion kwa mwezi.
Huo ukwepaji wa kodi hapo sio wakitoto.
Swala la Kariakoo shida ni ‘bi-tozo’ mwenyewe kutaka kuonekana yeye anasikiliza kero ata zile ambazo hazina kichwa wala miguu.
Watu waliokuwa wanataka VAT ianze tsh 200m miaka miwili nyuma, badała ya tsh 100m; wamengozewa sasa hivi wanataka ianzie tsh 500m au tsh 1 billion kila siku wanasogeza goal post.
Ina maana wengi wanafikia mauzo ya threshold ya tsh 200m kwa mwaka kama wanataka threshold ipande.
Mauzo ya tsh 200m kwa mwaka maana yake ndani mwezi ni tsh 16.7m.
Mauzo ya mwezi ya tsh 16.7m, kwa VAT ya 18% kila mtu anatakiwa alipe tsh 3m ya VAT.
Tsh 3m ya VAT kwa biashara 40,000 TRA inatakiwa kukusanya si chini ya tsh 120 billion kwa mwezi, hiko ni kiwango cha chini kabisa (mean).
Sasa hivi TRA inakusanya tsh 14 billlion kuna upungufu wa tsh 106 billion hiyo ni mean, kwa average (median) makusanyo ya wote yanaweza kutakiwa kufika hata tsh 300 billion ya VAT kwa mwezi.
Hapo Kariakoo hakuna kodi inayokusanywa kwa sasa; shida ni huyo mama yenu na 4R uchwara zake.
Sipingani na wewe, ni kweli kodi ailipwi TanzaniaHakuna demokrasia kwenye kukusanya kodi, wakoloni walikusanya kodi kwa nguvu na wanaendelea kukusanya kwa nguvu huko kwao hadi leo. Wachina wanakusanya kodi hata ikibidi kunyongana hadi kufa kwa mkwepaji. Serikali inawaoenea watumishi tu ambao hawana namna ya kukwepa kodi.
Hoja hapa ingekuwa ni kwanini wafanyabiashara wa kariakoo wanatoa risiti zenye malipo pungufu kuliko uhalisia. Serikali na TRA ingefanya utafiti kubaini kwanini kuna udanganyifu wa aina hii.
Binafsi nadhani haya ni matokeo ya sera ya CCM ya uholela kwenye biashara, ujenzi, makazi na kwenye huduma nyingi ili kuvutia wapiga kura wao. Mfanyabiashara anafanyabiashara sehemu ambayo mbele, nyuma, kushoto na kulia kwa biashara yake hiyo kuna wafanyabiashara ambao hawalipi kodi lakini wanauza bidhaa kama anazounza yeye anaelipa kodi ya pango, mazingira na TRA. Mfanyabiashara wa bar amezunguukwa na glossaries na maduka ya kawaida yanayopuza bia na vileo kama vilevile vilivyoko kwenye bar yake.
Idadi kubwa ya kodi pia ni tatizo.
Sio Mama, nadhani hata mama aliikuta hii hali pale kariakoo. Mh. Sumaye akiwa waziri mkuu aliwahi kusikika akiwaambia wafanyabiashara kuwa "kama unataka biashara yako iende vizuri chagua CCM. Swala LA eafanyabiashara kukwepa kulilipa kodi ni Sera ya CCM ambayo haikuandikwa. Wafanyabiashara hawabughudhiwi kwakuwa walikuwa wakichangia mbio za Mwenge Na uchaguzi wa CCMSipingani na wewe, ni kweli kodi ailipwi Tanzania
Shida ni huyo mama yenu ambae akiona makelele kidogo kwenye jamii hawezi sema hilo aliwezekani.
Makusanyo ya kodi Kariakoo kwa takwimu za biashara zilizosajiliwa kiwango cha chini inatakiwa kuwa tsh 120 billion kwa mwezi.
TRA kwa sasa inakusanya tsh 14 billion au 11.7% ya makadirio ya chini; huo ni utani maana yake hakuna makusanyo hapo TRA inatakiwa kuongeza jitihada za kukusanya kodi wako chini sana.
Endeleeni tu kufunga maduka yenu kama mnataka kufilisika. Angekuwa mm nisingehangaika Na wakwepa kodi hawa Bali ningehangaika Na wale wote wasiolipa kodi walipe kodi. Kuna watu wana miaka 20 wanafanyakazi kazi ya umachinga, hawa watalipa kodi lini?Mleta mada ni mmoja ya wale wenye wivu wa wafanya biashara huku yeye akiendelea kulalamikia nyongeza ya mshahara
Anapiga Deki Lumumba huyo hawezi kuhasol huyo Ndezi.Hivi umewahi kuuza hata ubuyu wa kufunga?
Kule Marekani Kila mtu analipa Kodi na hakuna viduka viiiiiingi uchwara kama sisi. Viduka vyote visivyolipa Kodi vifutwe kwenye mitaa mikubwa kama kariakoo na kuruhusu watu wenye motaji mikubwa wawekeze kwenye maduka makubwa (malls). Hii itasaidia mazingira kuwa safi na Kodi kulipwa kwa uhakika.TANZANIA USIPOKWEPA KODI HAUTOBOI. Utaishia kuifanyia biashara serikali. Akina Ng'wigulu wakiambiwa kodi zipunguzwe wanaenda kuounguza kodi kwenye tomato sosi sijui!
Alafu watanzania watafanya kazi za kufagia na kubeba mizigo kwenye hayo maduka yenye mitaji mikubwa yanayomilikiwa na wahindi na waarabu sio?K
Kule Marekani Kila mtu analipa Kodi na hakuna viduka viiiiiingi uchwara kama sisi. Viduka vyote visivyolipa Kodi vifutwe kwenye mitaa mikubwa kama kariakoo na kuruhusu watu wenye motaji mikubwa wawekeze kwenye maduka makubwa (malls). Hii itasaidia mazingira kuwa safi na Kodi kulipwa kwa uhakika.
Kuna maeneo makubwa mawili ambayo Serikali inapaswa kuyafanyia kazi katika kukuza mazingira ya biashara hapa nchini. Kuna uhitaji wa sheria kali ya kubana madalali ili waache uhuni. Kwenye masuala ya ardhi kuna madalali wanalipwa commission (mwezi mmoja wa kodi) pamoja na fee ya kwenda kuona eneo. Huu ni wizi wa wazi, kikundi hiki kibanwe ili kazi hii ifanywe na watu professional, hawa wahuni kama wanataka fedha wakapinde migongo walime. Udalali ndio unaharibu biashara kariakoo, kwenye biashara za mazao nackwingineko. Aidha, Serikali iikarabati vizuri Kariakoo kwa lami, kuondoa machinga katikati ya soko, parking ili kupunguza boda na bajaji. Hii itasaidia kuwa ns soko la kisasa na la mfano.Wengi wao hawataki katakata kutoa risiti halali kwa malipo halali. Unanunua bidhaa kwa bei kubwa wanakupa risiti yenye malipo pungufu. Ukikataa wanakwambia rudisha mali.
Fukuza wote wenye tabia hii hata kama awe
Wafanyabiashara wadogo waungane kuunda Duka kubwa linaloendeshwa kisasa kabisa. Tunakoelekea ndo huko. Wafanyabiashara wetu wadogo wanaleta bidhaa hafifu kutoka China Na kuuza kwa bei kubwa Na kutoa risiti hafifu, Na wengine hawatoi risiti kabisaaaAlafu watanzania watafanya kazi za kufagia na kubeba mizigo kwenye hayo maduka yenye mitaji mikubwa yanayomilikiwa na wahindi na waarabu sio?
Tanzania sio marekani! Ni jambo la ajabu kulinganisha Tanzania na marekani.