Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Huku Tandika, ukienda Mbagala rangi 3, ukienda Mwenge, ukienda Kinondoni biashara zinakwenda kama kawaida, wale waliogoma Kariakoo na kuwashawishi wa mikoani nao wagoner wanazuga tu, hakyamungu had j3 watarudi wenyewe.
Biashara Tandika na Mwenge zinafanyika kwa kasi kubwa sana, tena wanaombea kariakoo wafunge biashara zao maana nimeeenda Tandika leo watu wanafungasha sio kawaida
Mnaogoma na upumbavu wenu endeleeni kutesa familia zenu mkidhan mnakomoa serikali, biashara zinafanyika kwa wingi sana Posta, Tandika na Mwenge.
Serikali, kama wafanyabiashara wwmeshindwa kuheshimu kauli ya PM alipoongea na uongozi wa wafanyabiashara basi njia pekee ni kuimarisha masoko hayo ya Tandika, Mwenge, Mbagala ili Kariakoo wasijione special sana