Tetesi: Wafanyabiashara Lushoto kugoma Juni 26, 2023

Tetesi: Wafanyabiashara Lushoto kugoma Juni 26, 2023

ibanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
652
Reaction score
1,076
Kesho wafanya biashara wa Lushoto mjini kugoma. Inadaiwa hamlashauri imepandisha kodi ya pango za fremu kutoka laki 200000 hadi laki 600000.
 
Yaani wameamua tu kupandisha ghafla Mara tatu ya kodi ya mwanzo bila taarifa za awali?

Hebu fuatilia vizuri kuna jambo hapo, aidha wana malimbikizo mengi ya kodi hawajalipa kwahiyo Halmashauri inafanya hivyo kama mbinu ya kuwaondoa iwapangishie watu wengine
 
mkuu kwa taarifa za ndani ni kwamba hiyo kodi ni agizo la mkuu wa mkoa ili kufidia hoja za CAG maana wamekula hela sasa wanataka wafanya biashara walipe kodi hiyo kubwa. Harafu kingine kumbe kuna kesi vile vile inaendelea baina ya halmashauri na hao wafanya biashara ya kupinga kodi ya 200000. sasa juzi walipita na kuanza kuwafungia fremu eti walipe laki60000 . Ndoo hapo wa kajiuliza hii kesi ya kodi ya lakimbili bado ipo mahakamani iweje uje leo utufungie kwa kutudai laki600000?
 
ndoo hapo watu wanashangaa. hawa ndoo wanomchafua mh. rais kwa kumjengea chuki kwa watu
Wananchi watafute mtaalamu afanye utafiti huru kung'amua sababu ya kuoandisha Kodi kwa kiasi hicho, Kisha washushe mapendekezo ya kitaalamu ..wawafundishe namna sahihi ya kufanya kazi. Wakianza kulia na migomo bila kuleta counter offer ya hii kitu wataishia kusibirishwa na hakuna litakalofanyika.
 
Kesho wafanya biashara wa Lushoto mjini kugoma. Inadaiwa hamlashauri imepandisha kodi ya pango za fremu kutoka laki 200000 hadi laki 600000.
Halmashauri wawape DP World waiendesha halmashauri kwa ufanisi.
 
Back
Top Bottom