Wafanyabiashara na wajasiriamali woote pitieni hapa.

Wafanyabiashara na wajasiriamali woote pitieni hapa.

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
379
Reaction score
1,082
Wakuu habari.

Baada ya kutoka nduki kwenye biashara ya mchele ndugu yenu wa damu Leo nimekuja na habari mpya ambayo itamgusa kila mmoja wenu hapa jukwani kwahiyo jitahidini kwakweli.

Simnajua ndugu yenu napambana nione kama nitatoboa au vipi? Sasa wateja wangui wakubwa ni nyie mnayo nafasi ya kufanya mambo yakimbie au yaende polepole.

Ndugu yenu nimekuja na gunia zangu za vitungu kama mnavyojua sasahivi sio msimu so kitunguu kiko ghali kidogo lakini Mimi nawajali watanzania wa hali zote.

Naomba mnipe connection ya kusupply Vitunguu kwenye hotel, migahawa, kwenye vibanda, shule
(najua humu kuna watu wanahitaji Vitunguu kwa namna moja hadi nyingine)..
Pia kwa wale wa majumbani inabidi mnunue Vitunguu kuanzia kilo 10 vikae ndani mpaka usahau swala la kununua Vitunguu.
Vitunguu kilo 1=2400, hivi ni super vipo vya 20000 hii ni middle pia vipo 1800 chenga zile.

Tunapatikana mabibo Sokoni na ilala Sokoni utaletewa popote pale Fanya kunicheck.

0757590936
Nipigie au nicheck WhatsApp naanza kupokea oda kesho nianze kusambaza ukihitaji hata kilo 10 nitafute hapo.

IMG_20220211_164548_3.jpg
 
Wakuu naendelea kupokea oda wenye hoteli pia kwa matumizi ya nyumbani anaechukua kilo nyingi anitafute kwa hiyo namba
 
Back
Top Bottom