SIMU JANJA ZIWASAIDIE KUPATA TAARIFA ZA MAENDELEO - WAZIRI DKT. GWAJIMA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaasa wafanyabiashara ndogondogo kutumia simu janja walizonazo ziwasaidie kupata taarifa sahihi za fursa mbalimbali za maendeleo.
Akizungumza na baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) katika kituo kimoja cha eneo la Goba, wilaya ya Ubungo, Mei 21, 2024, ambao licha ya kuwa na simu janja walioonekana kutofahamu taarifa nyingi za fursa za maendeleo, Waziri Dkt. Gwajima aliweza kutoa elimu ya baadhi ya fursa za mikopo ya riba nafuu inayotolewa na baadhi ya benki nchini.
Amesema, wakitumia vizuri mitandao ya kijamii kupitia simu zao watapata fursa nyingi kwa kujua mengi yanayotolewa na Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima amepata wasaa wa kuwaelekeza namna ya kupata fursa hizo kwa kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kielektroniki vinavyotolewa kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kote.
Amewasihi pia kutokatishwa tamaa na watendaji wasio na uadilifu badala yake wafuatilie kupitia simu za huduma kwa wateja za Wizara ya Maendeleo ya Jamii.
Kwa upande wao bodaboda hao wamesema wanatamani kupata fursa hizo lakini changamoto ni kukosa ushirikiano kwa baadhi ya watendaji pamoja na kutopata elimu sahihi ya nini wafanye.
SIMU ZA HUDUMA KWA WATEJA WIZARA YA JAMII:
Kupiga 0734986503/ 0262160 250.
Kupiga na kutuma ujumbe 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.
Iwapo atahitajika Waziri mwenye dhamana tafadhali andika ujumbe tuma kwenye namba: 0765345777 nakala 0734124191.
Thanks Dr Gwajima ila ongea na Mh Nape apunguze gharama za bando ,simu janja bila bando ni sawa na Kopo tu...Gharama za internet ni kubwa sana wakati tuna mkongo wa taifa.

Asante, Hivi Wizara yako ina utaratibu wowote wa kuwainua wajasiriamali wadogodogo kama hao bodaboda nikimaanisha kuna fursa zozote za mikopo ambayo wizara kama wizara inaratibu tofaut na hii mikopo sijui ya Halmashauri and the likely?
SIMU JANJA ZIWASAIDIE KUPATA TAARIFA ZA MAENDELEO - WAZIRI DKT. GWAJIMA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaasa wafanyabiashara ndogondogo kutumia simu janja walizonazo ziwasaidie kupata taarifa sahihi za fursa mbalimbali za maendeleo.
Akizungumza na baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) katika kituo kimoja cha eneo la Goba, wilaya ya Ubungo, Mei 21, 2024, ambao licha ya kuwa na simu janja walioonekana kutofahamu taarifa nyingi za fursa za maendeleo, Waziri Dkt. Gwajima aliweza kutoa elimu ya baadhi ya fursa za mikopo ya riba nafuu inayotolewa na baadhi ya benki nchini.
Amesema, wakitumia vizuri mitandao ya kijamii kupitia simu zao watapata fursa nyingi kwa kujua mengi yanayotolewa na Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima amepata wasaa wa kuwaelekeza namna ya kupata fursa hizo kwa kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kielektroniki vinavyotolewa kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kote.
Amewasihi pia kutokatishwa tamaa na watendaji wasio na uadilifu badala yake wafuatilie kupitia simu za huduma kwa wateja za Wizara ya Maendeleo ya Jamii.
Kwa upande wao bodaboda hao wamesema wanatamani kupata fursa hizo lakini changamoto ni kukosa ushirikiano kwa baadhi ya watendaji pamoja na kutopata elimu sahihi ya nini wafanye.
SIMU ZA HUDUMA KWA WATEJA WIZARA YA JAMII:
Kupiga 0734986503/ 0262160 250.
Kupiga na kutuma ujumbe 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.
Iwapo atahitajika Waziri mwenye dhamana tafadhali andika ujumbe tuma kwenye namba: 0765345777 nakala 0734124191.
Ni Vyema ukaenda kwenye floor kuangalia kama hiyo mifumo kweli inafanya kazi na watu kweli wanahudumiwa hata kwa wewe mwenyewe kuset vijana wako kama spies kufuatili hiyo mikopo kila mahala Tanzania uone kweli it's easy available kama mtu amekamilisha requirement zote au ndio uleule urasimu uliozoeleka.
SIMU JANJA ZIWASAIDIE KUPATA TAARIFA ZA MAENDELEO - WAZIRI DKT. GWAJIMA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaasa wafanyabiashara ndogondogo kutumia simu janja walizonazo ziwasaidie kupata taarifa sahihi za fursa mbalimbali za maendeleo.
Akizungumza na baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) katika kituo kimoja cha eneo la Goba, wilaya ya Ubungo, Mei 21, 2024, ambao licha ya kuwa na simu janja walioonekana kutofahamu taarifa nyingi za fursa za maendeleo, Waziri Dkt. Gwajima aliweza kutoa elimu ya baadhi ya fursa za mikopo ya riba nafuu inayotolewa na baadhi ya benki nchini.
Amesema, wakitumia vizuri mitandao ya kijamii kupitia simu zao watapata fursa nyingi kwa kujua mengi yanayotolewa na Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima amepata wasaa wa kuwaelekeza namna ya kupata fursa hizo kwa kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kielektroniki vinavyotolewa kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kote.
Amewasihi pia kutokatishwa tamaa na watendaji wasio na uadilifu badala yake wafuatilie kupitia simu za huduma kwa wateja za Wizara ya Maendeleo ya Jamii.
Kwa upande wao bodaboda hao wamesema wanatamani kupata fursa hizo lakini changamoto ni kukosa ushirikiano kwa baadhi ya watendaji pamoja na kutopata elimu sahihi ya nini wafanye.
SIMU ZA HUDUMA KWA WATEJA WIZARA YA JAMII:
Kupiga 0734986503/ 0262160 250.
Kupiga na kutuma ujumbe 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.
Iwapo atahitajika Waziri mwenye dhamana tafadhali andika ujumbe tuma kwenye namba: 0765345777 nakala 0734124191.
Hivi Mh Wizara yako ndio ina ratibu zoezi la usajili wa wafanya biashara ndogo ndongo na kwapatia vitambulusho vya ujasiriamali au ni wizara ya Tamisemi?

Wizara zote operesheni zake zinapitia miundombinu ya Tamisemi. Wizara zote. Hivyo usajili unafanyika ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri na hela za utekelezaji ziko wizara ya Jamii fungu 53. Na sisi tunafuatilia utekelezaji, tunaelimisha ufundi ....
Una swali zaidi tafadhali? Shukrani kwa mchango wako mzuri sana. π€