Wafanyabiashara nimewanyooshea mikono, kituo cha kujazia gesi Airport chafurika na foleni

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa gesi kwa magari yanayotumia petroli.

Nikajisemea ni biashara iliyoshindwa ukizingatia bei ya gesi kwa kilo na kilo chache ambazo watu wengi wanajaza nikajua faida itakuwa ndogo sana na wasingekuwa na muda mrefu kukibadili kuwa kituo cha kujazia mafuta ya petroli.

Aloo, baada ya muda mrefu nimepita leo kwenda Airport. Asubuhi kuna foleni ya line mbili mpaka wanatumia barabara ya mwendokasi inayojengwa kujipanga foleni. Nimejiona sifai kuwa mfanyabiashara maana ningekata moto mapema 😀

Anyways Serikali iendelee kutoa motisha, inapunguza matumizi makubwa ya fedha za kigeni kununulia mafuta Arabuni. Na waagiza magari wajaribu kuangalia sehemu yanayokuja na mfumo huo tayari badala ya kujaza mitungi ndani ya gari, nimeona Maruti India wanazo. Soko lipo linawasubiri..

Pia, Soma=>Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

Kituo gesi Tazara.png
 
Kawaida hata cha ubungo wanapanga foleni sielewi wka nini vituo ni vichache
 
AGIZA GESI YA KUPIKIA HAPOHAPO ULIPO USIONDOKE KAA HAPOHAPO MTAANI KWAKO
Gesi zote zipo: Oryx Gas, Taifa Gas, Manjis Gas, O-Gas, Total Gas, Mihan Gas, na Puma Gas: zote zinapatikana hapo
 
Back
Top Bottom