Radio One taarifa ya habari -- WaTanzania wenye uwezo na wafanyabiashara wameshauriwa kuanzisha viwanda badala ya kuwa wachuuzi..
Nashangaa wafanyabiashara wakubwa Tanzania wanaenda China kubeba viatu vilivyotengenezwa kwa mabox na kuwauzia watanzania wenzao.....
Nguo za China ni hafifu mno,,,,, Tanzania tuna pamba nzuri na nyingi ajabu
Kuna bidhaa hafifu sana zinaingizwa Tanzania, TBS wako wapi?