kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Unaenda sokoni, unakuta nanasi limewekwa pale juu, linapendeza, unalinunua, kumbe upande mmoja limeoza, muuzaji anajua lakini anakausha.
Unaenda Dukani, unanunua maziwa ya unga, kumbe yameeksipaya, mwenye Duka anajua, anakausha!
Unafika Muheza, unanunua machungwa kwenye mfuko, unafika nyumbani, nusu yameoza!
Jamani jamani, tutafika kweli?