kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Kwani hamuangalii tarehe kwenye kopo?"Yameexipaya"maziwa nimeipenda hii umeongea jambo kubwa natumaini watajifunza!
Hili watanzana wengi wanunuzi hawalijui ila wafanyabiashara wanalijua. Wanatake advantage ndio maana mtoa mada naona kawaongelea haoKwani hamuangalii tarehe kwenye kopo?
Ni vizuri kuwaelimisha raia walio wengi kwa njia kama hizi za social media.Hili watanzana wengi wanunuzi hawalijui ila wafanyabiashara wanalijua. Wanatake advantage ndio maana mtoa mada naona kawaongelea hao