Wafanyabiashara tunaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi tunakatishwa tamaa kwa rushwa, hadi kujuana na wakubwa na umafia uliokithiri, Kuna mbadala?

Chakula cha Tz hasa nafaka zinalika mpaka Somalia na Sudan ya kusini kama nini , na hapo bado soko la Kenya ni kubwa mno na wana njaa ya kufa mtu wale nyang'au ila utakuta Cartel ya wapumbavu wachache wameweka vizuizi kwa wenzao , roho za kimaskini kabisa
 
tengeneza connection na hao wakubwa ukiamua kuwa mfanya biashara kubali yote, kubali kuwa mafya, kubali zako ziliwe ili nawe ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…