Kwa sisi watu wa shipping kuna kitu kinaitwa ecoterms issued by the international chamber of commerce yaani ni makubaliona katika delivery ya mzigo zipo nyingi kama ex work ,insurance paid to (Ipt),
So katika free on board ni kwamba muuzaji hata hakikisha mzigo mpaka umepakizwa na liability ya mzigo itakuwa kwake atahusika mpaka unakuja pokea ila yeye ghrama ya bidhaa itaingezeka maana atajumlisha na cost of usafirshaji means atauza mzigo katika rate ya freight ninposema freight namaanisha bidhaa iliyosafilishwa kwa njia yeyote pale hatuiti cargo wala goods tena atakuchaji freight rate
Zipo term nyingi kuna mpaka delivery at termnal( anakufikishia mpaka kweny terminal, kuna delivery at place(DAT) anakufikishia mpaka eneo husika door to door.