ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au jamhuri dodoma wamefurumushwa Katika eneo Hilo na manispaa ya jiji huku Tonga tinga likibomoa misingi na vibanda hivyo vya muda
Lengo Ni kupisha maandalizi ya ufunguzi wa kampeni za chama Cha CCM inayotarajiwa hivi karibuni pia kupisha eneo ambalo vyama mbalimbali vya siasa vitamwaga Sera zao ikiwemo CHAUMA UBWABWA na Chadema.
Haijatajwa haswa Kama watu hao watafidiwa na manispaa kwa uharibifu huu au Ni moja ya mchango wa wafanyabiashara kwa chama.