A
Anonymous
Guest
Toka nimehamia hapa nimeshaenda butcher zote ila kila sehemu mizani yao imechezeshwa.
Kila sehemu nilikuwa nikienda nikiona nyama pungufu nilikuwa naondoka.
Ila leo nimeenda buchani mwenye bucha kapima nyama na mzani umeanza kusoma kwenye 0.266 nikakaa kimya mpaka kafunga nyama.
Then nikamuuliza mzani wako vipi mbona umeanzia kusomea mbali. Kanirudishia hela kabisa 😁😁😁😁
Pia soma:
~ Wauzaji wa nyama Mbezi Beach kuna michezo wanafanya kwenye mizani
~ Waziri Jafo: Wauza nyama Buchani kuna ujanjaujanja wanaufanya kuibia Wateja kwenye mizani
~ Dar: Wafanyabiashara wawili wa bucha wakamatwa kwa kuchezesha mizani kupunja uhalali wa vipimo