lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
habari wakuu kwa wenye uzoefu wa kufanya biasha tzee to south nisaidieni info za NAULI za mabasi kutoka dar to zimbabwe thn zimbabwe to SA,or dar to lusaka thn lusaka to SA, tufunguane tafadhali ili nami nianze tumia njia hiyo mapema mwaka huu, or pia tofauti ya nauli ya ndege na basi to johannesburg.