acheni kukatisha watu tamaa,binafs nimesafiri moja kwa moja kutoka dar mpaka harare kwa sh 120,000 na kutoka harare mpaka joberg kwa randi 300.zaid ya mara tano kwa taqwa,pia nimeunga unga dar tunduma sh 40,000 mpakan unatoa naul ya nn.tunduma na nakonde unatoa naul ipi.pia gest mpaka ten zipo kama hutaki makuu,nakonde mpaka harare unaweza kupata gari mpaka ya 90,000.harare mpaka joberg zipo gari hadi rand 250 japo znachelewa kufika,ukitaka gari nzur kama inter cape ndio kuanzia rand mia tatu.kuhusu ndege niliwah kupata mpaka 380,000 kwa one way dar joberg japo ni 2013(pricision) ni kweli gari inachosha lakin ni badget oriented.