Wafanyabiashara wa electronics tengenezeni utaratibu wa bidhaa za mkopo

Wafanyabiashara wa electronics tengenezeni utaratibu wa bidhaa za mkopo

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M...

Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wakati wanapokuwa wakisubiri wateja.

Pia kuna tatizo kubwa la wateja kufika dukani wakiwa na pesa pungufu za kupata bidhaa.

Ikiwa magari, nyumba zinapatikana kwa mikopo basi wafanyabiashara wa bidhaa kubwa jitahidini kutengeneza utaratibu wa bidhaa za mkopo.

Tafuteni wanasheria wawasaidie namna nzuri ya kutengeneza mikataba ya bidhaa za mikopo.
 
Back
Top Bottom