Hii nawapa msisitizo japo najua mnafahamu.
Kuliko kuendelea kunyanyasika nawasihi sana hamieni maeneo kama Lubumbashi, Juba, Kampala, Lilongwe, Blantaire, Kisangani na Goma.
Huko waliostuka mapema walishawapita pesa kitambo wamejificha huko na biashara zote zinazofanyika hapo kariakoo ndio hata maeneo hayo zinafanyika.
Hakuna sababu ya kulazimisha kukaa sehemu moja yenye ugumu wakati dunia ina uwanja mpana na fursa zipo kila sehemu.
Hamisha biashara kimyakimya huko ni miaka yako mitatu au minne utajuta kwa nini haukuhama mapema.