wengi wao huishi ifuatavyo:
- Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
- likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
- wakiumwa biashara zinayumba, hospitalini hawana bima wanakamuliwa pesa nyingi
- Marejesho ya mikopo kwa benki
- Faini za TRA kukosa mashine ya risiti ya laki 5 na ikiharibika ununue nyingine
- Wasaizi kuiba, mishahara ya laki 1 haikidhi mahitaji
- Wapinzani wapya wenye mitaji mirefu au machimbo wanakuja kuharibu biashara vitu haviuziki