Hizo ni changamoto za kibiashara inatakiwa wakabiliane nazo zinaitwa mjasiriamali na yanayo mzunguka, (the entrepreneur and his her environments) zipo zilizo jificha ndizo zinaweza kusababisha biashara zifewengi wao huishi ifuatavyo:
- Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
- likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
- wakiumwa biashara zinayumba, hospitalini hawana bima wanakamuliwa pesa nyingi
- Marejesho ya mikopo kwa benki
- Faini za TRA kukosa mashine ya risiti ya laki 5 na ikiharibika ununue nyingine
- Wasaizi kuiba, mishahara ya laki 1 haikidhi mahitaji
- Wapinzani wapya wenye mitaji mirefu au machimbo wanakuja kuharibu biashara vitu haviuziki
Acha uvivu piga kazi u-boss hauji kwa kulalawengi wao huishi ifuatavyo:
- Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
- likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
- wakiumwa biashara zinayumba, hospitalini hawana bima wanakamuliwa pesa nyingi
- Marejesho ya mikopo kwa benki
- Faini za TRA kukosa mashine ya risiti ya laki 5 na ikiharibika ununue nyingine
- Wasaizi kuiba, mishahara ya laki 1 haikidhi mahitaji
- Wapinzani wapya wenye mitaji mirefu au machimbo wanakuja kuharibu biashara vitu haviuziki
Wewe umeajiriwa au umejiajiri??wengi wao huishi ifuatavyo:
- Ofisini jumatatu hadi jumamosi kuondoka majumbani alfajiri kurudi usiku, kukosa muda wa kuspend na familia
- likizo pekee ni Christmas, Pasaka au Idi
- wakiumwa biashara zinayumba, hospitalini hawana bima wanakamuliwa pesa nyingi
- Marejesho ya mikopo kwa benki
- Faini za TRA kukosa mashine ya risiti ya laki 5 na ikiharibika ununue nyingine
- Wasaizi kuiba, mishahara ya laki 1 haikidhi mahitaji
- Wapinzani wapya wenye mitaji mirefu au machimbo wanakuja kuharibu biashara vitu haviuziki
Mohamed dewj anadai analala masaa 6 vipi nayo ni mateso?Hayo ni mateso sio biashara
Mohamed dewj anadai analala masaa 6 tu vipi unalizungumziaje hilo?Tofautisha kati ya kufanya biashara na kumiliki biashara kaka.
Naweza jiita mmiliki wa biashara ya kati, ila hivyo vigezo vyote ulivyo weka Simo kabisa.
Naamka ninavyo taka, nafanya majukumu yangu bila bughudha yoyote.
Shida wabongo tuna fanya vitu, vinavyo hitaji tuwepo wakati wote ili viweze kuji endesha.
Na hilo ndo kosa kubwa, vipi uki umwa??.
Mazoea, yaani una taka uonyeshe nawe humo, Eti frem mzee shituka
Mengi sanab hawezi kusinzia hovyo nadhani atakuwa anaendeshwa anaweza akasinzia kwenye gariMohamed dewj anadai analala masaa 6 tu vipi unalizungumziaje hilo?
Ina wezekana mkuu, hatuna evidence au facts za kusema hayuko sahihi.Mohamed dewj anadai analala masaa 6 tu vipi unalizungumziaje hilo?