A
Anonymous
Guest
Kuna wafanyabiashara hasa wa Turiani (Madizini) Morogoro wanawauzia watu wasiojua bati za gauge 32, wakiwaambia ni 30 gauge.
Na hawataki urudishe mzigo hata ukigundua kuwa bati hizo ni fake. Wanaibiwa sana wale wasiojua. Je, kwanini bidhaa iuzwe Kwa udanganyifu.? Kwanini mteja haambiwi ukweli Ili achague mwenyewe?