A
32 nyepesi kama karatasiukipata muda tupe utofauti wa ubora wa hizo gauge ili tusiendelee kuibiwa na hao wafanya biashara π
unamaanisha ubora wa chini kabisa32 nyepesi kama karatasi
Yaani geji 32 ipo hivyo. Laini sana.unamaanisha ubora wa chini kabisa
Hii inaanzia viwandani, fanya utafiti mdogo, kachukue batila gauge 30 la mwaka 1980, linganisha na bati la gauge hiyohiyo la leo utajifunza kuwa futi moja ya 1980 inabadilika siku zinavyosogea mbeleKuna wafanyabiashara hasa wa Turiani (Madizini) Morogoro wanawauzia watu wasiojua bati za gauge 32, wakiwaambia ni 30 gauge.
Na hawataki urudishe mzigo hata ukigundua kuwa bati hizo ni fake. Wanaibiwa sana wale wasiojua. Je, kwanini bidhaa iuzwe Kwa udanganyifu.? Kwanini mteja haambiwi ukweli Ili achague mwenyewe?
Dawa ni kwenda kwa mawakala wa hizo kampuni akikudanganya unadeal na mwenye kiwanda au kampuni.Kuna wafanyabiashara hasa wa Turiani (Madizini) Morogoro wanawauzia watu wasiojua bati za gauge 32, wakiwaambia ni 30 gauge.
Na hawataki urudishe mzigo hata ukigundua kuwa bati hizo ni fake. Wanaibiwa sana wale wasiojua. Je, kwanini bidhaa iuzwe Kwa udanganyifu.? Kwanini mteja haambiwi ukweli Ili achague mwenyewe?
kuanzia geji ngapi inakuwa imaraYaani geji 32 ipo hivyo. Laini sana.
30 na 28kuanzia geji ngapi inakuwa imara
π30 na 28