Msimu wa maembe huku moshi umepamba moto.
Maembe yako yakutosha kama unahitaji magunia yakujaza fuso /Scania Kwa maembe unaeza wasiliana na mimi inbox au achia number hapa.
Bei bado ni ya kutupa, kwa Sasa gunia lenye kilemba ni Tshs. 10,000/=
NAOMBA kuwasilisha.