Viti 40 wafanyakazi kama 30. Sidhani kama inawezekana, 30 ni mkusanyiko mkubwa sana asee.
kwani hujui ni kama kwenye ma bar tu kuna wenye ajira zao rasmi na wale wa kula kuona, ama wenye wateja wao wenyewe kimsingi kwenye hizo kazi ukahaba ndio unawaweka mjini same like kwenye salon unakuta mademu wengi kuliko vinyozi yaani ni sheedaaarrrrrr.Katika biashara ya migahawa mingi huwa naona rundo la wafanyakazi ukilinganisha na ukubwa wa mgahawa.
Kuna mgahawa nimeona una viti 40 na wafanyakazi kama 30 hivi, kuna migahawa midogo midogo ya mtaani mingi ambayo haiwezi hata kukaa zaidi ya watu 5 lakini wafanyakazi wako 5!
Ninachojiuliza mmiliki huwa anagawanyaje mapato kumpatia kila mfanyakazi ujira wake na yeye abakie na faida ya maana pamoja na mtaji wa kuendeleza biashara!
Migahawa mingi mjini inategemea usambazaji wa chakula kuliko wanaokuja kula hapo mgahawani. Vilevile wanaweza kuwa wanasambaza maeneo ya mbali kidogo na mengi. Hivyo nguvukazi ni muhimu. Malipo yao ni kidogo japo sio sawa na kuishi bila kaziKatika biashara ya migahawa mingi huwa naona rundo la wafanyakazi ukilinganisha na ukubwa wa mgahawa.