Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.


 
Yeye yuko bize na wasanii tena siyo wale wasanii wa kutoka bagamoyo

Ova
 
Bora angeambatana na Wafanyabiashara kuliko kusomba Wasanii.
 
Wanywa gongo wa mtaani uswahilini huku na wenyewe wanajipanga kuomba nafasi ya kusafiri na bibi chaudele wakapate uzoefu wa gongo za mambele huko
 
Mwisho na Wamachinga na Mamantilie wataomba kusafiri naye!
 
Back
Top Bottom