muafi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 2,557 Reaction score 6,128 Jun 7, 2024 #1 Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara. Your browser is not able to display this video.
Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara. Your browser is not able to display this video.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Jun 7, 2024 #2 Yeye Yuko bize na Akina Mwijaku
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Jun 7, 2024 #4 Atapigaje pesa na duly??
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Jun 7, 2024 #5 Shangazi ni msikivu japo ni mjuba!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jun 7, 2024 #6 Yeye yuko bize na wasanii tena siyo wale wasanii wa kutoka bagamoyo Ova
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jun 7, 2024 #7 Bora angeambatana na Wafanyabiashara kuliko kusomba Wasanii.
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Jun 7, 2024 #8 Wanywa gongo wa mtaani uswahilini huku na wenyewe wanajipanga kuomba nafasi ya kusafiri na bibi chaudele wakapate uzoefu wa gongo za mambele huko
Wanywa gongo wa mtaani uswahilini huku na wenyewe wanajipanga kuomba nafasi ya kusafiri na bibi chaudele wakapate uzoefu wa gongo za mambele huko
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jun 7, 2024 #9 Mwisho na Wamachinga na Mamantilie wataomba kusafiri naye!