Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Unakuta jitu unalitafuta hewani ili likueleze kwa upana kuhusu bidhaa fulani lakini linaongea kama halitaki na kama unalisumbua.
Kwenye chatting ndio usiseme, meseji unakuta inakaa bila kujibiwa, hadi tena umshitue, ukimshitua anakuambia atakutafuta baada ya hapo ndio mazima.
Hakuna cha ubize pimbi nyie, ni dharau tu ndio mlizonazo kwa kuwa vibiashara vimewapa vipesa vya kula na kupendeza sasa mnaona sio big deal kuchangamkia mteja.
Kumbuka mlipokuwa hamna mitaji mnakaa kwa shemeji zenu, pale mlivyokuwa na ndoto na molali kuchangamkia wateja na kutokuacha pesa hata shilingi mia.
Yani unakuta mtu unampa fursa ya kumuongezea kipato ila yeye anakuchukulia niaje niaje, na siku zote hakuna mteja asiependa kudekezwa, kwa maana siku zote mteja ni mchanguzi lazima atakusumbua tu kwa maswali then atakuchangia.
Bei zenyewe hamuweki, description ya kitu (size, weight etc ) hamuweki, sasa unategemea nini kama sio kupigiwa na kuulizwa maswali.
Tuache uswahili uswahili, dunia imebadilika.