Wafanyabiashara wenzangu hua mnatumia mbinu gani kutafuta siku ya kupumzika?

Wafanyabiashara wenzangu hua mnatumia mbinu gani kutafuta siku ya kupumzika?

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Mimi nnapiga mishe ya duka la vitu mahtaji mbalimbali ya nyumban na vinywaji na vinginevyo

Nilipanga kutopumzika ili kukuuza mtaji wangu...na biashara ikue zaidi(hapa n kipindi biashara ipo chini mno mpaka watu wakatabiri kufungwa kwa duka)

Now biashara imesimama...hela napata nyingi tu...na mzunguko kwakweli n mkubwa saana japo kna maduka mengne ma3 ila watu wananipenda na wamenizoea saana maana huduma nyingi na bidhaa nyingi nnazo

Lakini pia n kwakuwa maduka jiran mda mwingi hawapo madukan...so mteja anasubiri mda mref....plus pia wengi n wanawake(nadhn mwajua akikaa mwanamke dukan inakuaje kwa wanawake wenzie)

Sasa kwakweli nachoka mnoo....kuna mda mpk kichwa kinauma....mgongo wauma pia...!!nahic n kwakuwa sipati mda wa kupumzika n napata mda mdogo wa kulala

Kuna siku nilifunga duka nkapumzika siku nzima...simu zilipigwa...!!meseji zilitumwa na wateja weengi.....mpaka roho iliniuma hela zilizonipita....na hata nlpofungua kesho yake walinisema sana kwa kuwahangaisha

Naomba msaada kwa wafanyabiashara wenzangu....nifanyaje ili nipate mda wa kulala na kupumzika....mbinu gani mnatumia wenzangu??...maana kwakweli kuwakera wateja zangu cpendi...!!msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa hujajiajiri utaambiwa ukijiajiri wewe ndiye utaamua uwepo kazini au usiwepo. Utajipangia muda wa kufungua.
Wa kupumzika.
Na bata utakula.

Huku ukiendelea kupiga faida.

Walidanganya ukijiajiri unaweza kua upo eneo la kazi lakini usingizi unaokupelekesha hapo siyo wa kitoto.

Hata muda wa kua karibu na watu unakosa.

Hasara ikija itabidi ujitathmini kosa liko wapi kabla mtaji haujapeperuka.

Yaani unakua umefungwa na biashara yako na demand ya wateja.

Boss ajiri mtu muwe mnapokezana kupumzika.
 
Na hili ndilo lilimfanya mzungu akaunda kitu kinachoitwa kampuni!

Making an organisation of people who work and make money for you even if you arent around! Huwezi kukwepa kumlipa mtu sehemu ya faida yako japo kidogo ili kuhakisha ufanisi wako wa kazi hauathiriwi na kukosa mapumziko!

Ili ku control wizi weka system ya mauzo, feed stock ya bidhaa zako zote ikiwemo na hizo za kupima kwa ujumla. Ijulikane kilo ngapi iko na inatakiwa rudisha bei gani!
 
Hivi mfano ukifunga duka saa nne..unarudi nyumba ni na kulala mpaka SAA 12.si Masaa name hayo yanatosha kupumzika?
Pia kama unasumbuliwa na mgongo kwa kukaa mda mrefu tafuta kigodoro uwe unajilaza paleunapokuwa free..mfano mteja anagonga muhudumie ulimaliza rudi jilaze.utapata maradhi ya mgongo
Nimewah kufanya hvyo ndugu...sema nisipokuwepo mimi mzunguko n tofauti....!!nlimuachaga mtu bt kila mteja akija ananiulizia mimi!!....so hiyo nd reason sijaweka mtu mpk sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewah kufanya hvyo ndugu...sema nisipokuwepo mimi mzunguko n tofauti....!!nlimuachaga mtu bt kila mteja akija ananiulizia mimi!!....so hiyo nd reason sijaweka mtu mpk sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kijana fanya nae kazi muda wote hata miez miwil, atazoeleka tu, baada ya hapo unaweza muacha akafanya mambo mengine au kupumzika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewah kufanya hvyo ndugu...sema nisipokuwepo mimi mzunguko n tofauti....!!nlimuachaga mtu bt kila mteja akija ananiulizia mimi!!....so hiyo nd reason sijaweka mtu mpk sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
kaa nae kwa mda mrefu bila kumwachia mwenyewe hata miezi 6 azoeleke aone kila mtu mfundishe maesabu yanavyoenda kwanzia hapo baada japo changamoto ni kuwa tabia za binadamu hazitabiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mungu tuu mwenyewe muumba mbingu na dunia alifanya kazi na kupumzika siku ya 7,.wewe ni nani usipumzike??tena binadamu mwenye mwili dhaifu wa nyama wenye kuchoka,.tafuta assistant wako msimamie kwa kila hatua huwezi poteza kitu na utapata muda wa kupumzika na kufanya mambo mengine,maana sidhani kwa kuchoka huko unapata hata muda wa kufanya ibada kamili..

Usifanye kazi pekeako,tafuta wasaidizi kutokana na ukubwa wa biashara yako.
 
Mkuu mm huwa nasinzia kwenye kiti changu dk mbili tatu pale wateja wanapopungua, hyo ndio kupumzika kwangu lkn uniambie nifunge nikalale au nitenge siku moja nisifungue yaaaan nitakufukuza kwa mapanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama umepata mchepuko utamtombe@ wapi?
Hata mkeo inaonekana unapiga kimoja na kuanza kukoroma kuwaza kukuche ukafungue duka.
Jipe muda wa kupumzika boss,utasaidiwa majukumu ya ndani!
 
Hapo only way ni kutafuta ki/vijana, wa kukusaidia. Ili mambo yaende vizuri hata kama haupo eneo la kazini....

Note:
Unapoweka m/watu ofisini kwako, hakikisha una boresha mfumo wa usimimazi ili kuzuia janjajanja. Mifumo ya usimamizi ipo ya manual and automatic...kazi ni kwako kuona hupi unakufaha.

Cc; Ni hayo tu...kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama umepata mchepuko utamtombe@ wapi?
Hata mkeo inaonekana unapiga kimoja na kuanza kukoroma kuwaza kukuche ukafungue duka.
Jipe muda wa kupumzika boss,utasaidiwa majukumu ya ndani!
Hili nalo lina umuhim...hela haina budi kutafuta kwa malengo....!!sema yabd uwe na ratiba...wateja wajue kabsaa...ila kwa hapa nlipo mimi....wamenzoea sana...na pia hela kwakweli kuacha hela inipite yaniumaga saaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom