Wafanyabiashara wote wanapenda kukwepa kulipa Kodi

Kodi lazima ilipwe ila mifumo iwekewe utaratibu unao eleweka. Lkn kama unadaiwa Kodi halali hakuna jinsi zaidi ya kulipa.


Kuna mama mmoja mfanyabiashara eti anadai kwa waziri Mkuu alipe Kodi anayo itaka yeye!!!!

Haiwezekani, lazima Kodi ilipwe
Hufanyi biadhara ndo maana unaongea kishabiki
 
Ndiyo misemo ya mafisadi, wafanyabiashara wameishaizoea.
 
Ndiyo misemo ya mafisadi, wafanyabiashara wameishaizoea.

Wafanyabiashara ndio wenyewe wanaipalilia rushwa.
Wanakwepa kulipa Kodi ila wanatoa rushwa!!!

Kama kweli unaipenda nchi Yako basi ukidaiwa rushwa na maafisa wa TRA toa taarifa kwenye mamlaka.
 
Anzisha na wewe Biashara ulipe mikodi na kudhulumiwa
 
Anzisha na wewe Biashara ulipe mikodi na kudhulumiwa
Mimi ni mfanyabiashara nauza redio kkoo mtaa wa mhonda, nasema kweli kuwa wafanyabiashara tuache unafiki, tulipe Kodi halali ya Serikali.

Ila utaratibu wa kukusanya Kodi uwekwe imara na madhubuti.

Pia wafanyabiashara tuache tabia ya kutoa rushwa ili kukwepa Kodi, sisi ndio tunachochea vurugu za maafisa wa tra kwa kuwapa rushwa na kutusumbua sisi wengine ambao tumamsimamo, Mimi nalipa Kodi halali.
 
Basi utakua mmachinga nauhakika huna duka kama ungekua na duka usingeongea haya
 
[emoji1787]
 
Acha upngo kwa kusema maduka yote yanefunguliwa nenda kule kwenye nguo uone kana wamefungua
tangu asubuhi Hadi sasa jioni nipo nauza redio hapa mtaa wa mhonda, binafsi siwezi kufuata mkubo wa wafanyabiashara wakubwa ambao wanamiliki maduka kila Kona, Wana uhakika wa kula, Mimi duka langu ni moja tu lazima nipambane.
 
Basi utakua mmachinga nauhakika huna duka kama ungekua na duka usingeongea haya
Karibu nipo hapa nuza redio kwa Bei ya jumla, Nina duka langu hapa.

Naunga mkono kulipa Kodi kwa utaratibu unao faaa ila na sisi wafanyabiashara haswa wakubwa tuache tabia ya kuwapa rushwa maafisa wa TRA ili kukwepa kulipa Kodi halali.
 
Wewe unajua kuliko walioafiki baadhi ya vipengele vina mapungufu? Hii unayozungumzia ni either hujui au chuki

Ingekuwa kuhujumu uchumi viongozi wasingekubaliana na hilo wapo makamishna wa TRA na wizara ya fedha wanafahamu vizuri kuhusu kodi
 
Kodi lazima ilipwe ila mifumo iwekewe utaratibu unao eleweka. Lkn kama unadaiwa Kodi halali hakuna jinsi zaidi ya kulipa.


Kuna mama mmoja mfanyabiashara eti anadai kwa waziri Mkuu alipe Kodi anayo itaka yeye!!!!

Haiwezekani, lazima Kodi ilipwe
Kinachogombwa ni kukadiriwa kodi kubwa na kupunguzwa Kwa njia ya rushwa na vitisho
 
Kama wewe si mTRA basi ni mnufaika wa ufisadi na kodi kandamizi kede kede zinazoumiza wafanya biashara na kupelekea kupaisha bei za bidhaa nchini.

Haiwezekani vilio hivyo vyote vilivyotolewa leo hadharani kuhusu figisu na rushwa, halafu wewe uje na conclusion rahisi za kishenz namna hiyo!

Emb toa mfano hata mmoja wa hoja zilizotolewa leo, kuwa hoja hii ina harufu ya ukwepaji kodi.
 
Unaongea tu wewe kwasababu hufanyi wala hujawahi fanya biashara wewe ukakutana na hizo kero.
Usione wanalalamika ingia huko uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…