uko wapi bei zako zikoje?Jamani pole na majukumu, nina kaka yangu yeye hajui mambo ya mitandao, Ana shamba kubwa saaana la miti ya pain, ni miti karibia elfu tatu(3000) ambayo unaweza kuvunwa
Ni miti mizuri na ishakomaa maana ina kama miaka 12 Tangia ipandwe,
Kwa wafanyabihashara wa mbao karibu tufanye bihashara