Wafanyabishara wenzangu hali ya biashara ipoje?

mchagger

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
864
Reaction score
1,064
Binafsi namkumbuka sana Kikwete nilipiga hela sana enzi zile hata alivyoingia Magufuli mpaka kufikia 2017 mambo yalikuwa yanaenda safi ila kuanzia mwaka Jana 2018 dah kila siku zinavyoenda mambo yanaenda mrama mzee anakaba sana hii hali ni kwangu tu wanajamvi au?
 
Wewe ni mchaga ujue ndio sababu. Mzee baba katuambia wachaga mlikuwa wapigaji eti
 
Wala sio mpigaji nafanya biashara kihalali na kodi za Mzee zote nalipia kila mwaka ila pesa nayopata ni yakula tu huu mwaka Wa pili nachojivunia ni kununua sabufa basi
Wewe ni mchaga ujue ndio sababu. Mzee baba katuambia wachaga mlikuwa wapigaji eti
 


Mkuu chamuhimu unapata hela ya kula intosha kwa sasa tunapiga dormant tu, tuombee jamaa aondoke.
Labda akiondoka atakaye kuja atajifunza.
 
Wala sio mpigaji nafanya biashara kihalali na kodi za Mzee zote nalipia kila mwaka ila pesa nayopata ni yakula tu huu mwaka Wa pili nachojivunia ni kununua sabufa basi
Unafanya biashara gani kwanza mkuu?
 
Tafuta goli nnje kidogo maeneo ya soko na maeneo ya makazi (mfano shoppers mikocheni, kawe au mbezi beach chini)....washua washua wengi wanapopita.

Uza mchele, maharage, sembe/dona na mahindi ya makande (anza na hzo tu). Kama una capital kubwa nunua mzgo wa jumla and retail a bit cheaper mtaani. Nunua mafuta ya kula jumla weka pia.

Utanikumbuka.


Nilikua na frame ya nguo kkoo, mwaka jana mwanzoni nikaiuza hela ikarudi na faida kidogo na stock nikauza bei ya clearance. Sijawahi juta hayo maamuzi.
 
Kiukweli kabisa purchasing power imepungua na kiukweli hayo ni mambo ya kawaida kabisa katika mambo ya economy. Lakini kabla hatujaanza kuwanyooshea vidole wanasiasa let's be back to ourselves first (as entrepreneurs). Unafanya biashara gani? Wateja wako ni akina nani? Umeshachukua hatua gani kukabiliana na tatizo mpaka sasa? Kuanzia hapo tunaweza kushauriana mawili matatu kukabiliana na tatizo!.
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu chamuhimu unapata hela ya kula intosha kwa sasa tunapiga dormant tu, tuombee jamaa aondoke.
Labda akiondoka atakaye kuja atajifunza.
Hivi hamna namna nyingine ya shortcut,.. Maana duuh tukisubiri mpk aondoke itakua wengi wamekufa... Tuwaze kingine labda
 
Kwa kweli hali siyo nzuri sana japo mfumuko wa bei ndo tatizo ,maana bidhaa nyingi sana zinatoka nje sasa inakuwa ni ngumu sana kukabiliana na hali hii . japo ni
1. Kutunza mtaji kama hata ni Mdogo bila kuingilia biashara nyingine


2 . kuwaza na kuendeleza mazuri unayo yaona katika biashara .


3. Kupunguza matumizi.


4. Kufanya biashara kwa target.


5. Ni hayo tu wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…