A
Anonymous
Guest
Habari,
Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021.
Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa maisha. Watu wamefika umri wa kustaafu ila wamebaki ofisini kwa sababu hawajalipwa mshahara na pesa hazijawekwa NSSF.
KM wao ni Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha TUCTA hawezi ku-feel the pinch kwa sababu kila mwezi anakula mshahara wake TUCTA huku wafanyakazi wake wanateseka.
Ofisi inaendesha miradi yake ila haiwalipi wafanyakazi sio sawa.
Naomba upaze sauti kusaidia wanyonge hawa wasiokuwa na pa kuzungumzia.