Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa

Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2006
Posts
1,324
Reaction score
43
Wakuu Kuna hii imepachikwa leo Mwananchi...

Mwananchi Read News

Kweli hii habari au watu wana nia Mbaya na Mzee Mengi?...Kufukuza wafanyakazi wengi kiasi Hiki imekuwaje?....

Kwanini waende mwananchi...?wasiende Gazeti Jiingine?...
 
Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa

Na Gedius Rwiza Baadhi ya wafanyakazi wa Gurdian LTD waliotimuliwa wakiwa nje ya ofisi za gazeti hili.... .

 
..."Nilidhani wakati wa kufanya ukatili huu mtu kama mimi mlemavu asingenidhurumu haki yangu kama unavyoniona mguu wangu una matatizo, kwani nilikuwa nikiona tajiri yetu akitoa misaada kwa walemavu kumbe ni kuwazuga watu,"alisema Joseph Mshamu

Hii imekaaje...?Katumwa nini kupakaza...?
 
Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa

Na Gedius Rwiza View attachment 2682Baadhi ya wafanyakazi wa Gurdian LTD waliotimuliwa wakiwa nje ya ofisi za gazeti hili.... .

Kwa mtazamo wa haraka haraka hawa watu wanakiri kosa walilolifanya ila wanaona hwajatendewa haki kwenye malipo.

Mimi sijui kosa lakini kuna kipengele kwenye mikataba ya Summary dismissal kutokana na makosa fulani fulani. So kama walitenda hayo makosa sioni sababu ya kuleta complains hizi.

Pili kwenye contract nyingi zinaeleza kiasi cha fedha utakazolipwa incase of termination/Dismissal na mara nyingi zinabase kwenye % of current salary times the number of months uliyofanya na company. So kama mtu kapunjwa nadhani kuna legal proceedure ya kufuatilia, sikuona maantiki ya kwenda mwananchi WAMETUMWAAAAAAAAAA tusubiri majibu ya IPP NA MKUU WAO ATASEMA NINI

bowbow
 
Huyo ndo Mengi. ukimwona hivi kwa usoni utadhani ni mtu mwema sana lakini mh!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…