Wafanyakazi katika PUB wanahitajika

somsom

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
44
Reaction score
35
Tunahitaji wafanyakazi wa kike/Kiume kuhudumu katika pub iliyopo Kinondoni, barabara ya Mwananyamala Dar es Salaam; awe na elimu ya kidato cha 4 au Cheti; uzoefu wa Kazi; umri miaka 18 hadi 30. Kama una sifa tajwa tafadhali ni PM Kwa maelekezo zaidi. Vigezo na mashariti kuzingatiwa.
 
Tangazo halijakamilika mshahara huja weka mambo yawe hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…