Wafanyakazi kutoka nje wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo

Wafanyakazi kutoka nje wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,738
Reaction score
3,199
Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini. Kwa miaka mingi, wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo. Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi gani, kuepuka double standard
 
Hii nchi iko wazi sana kwa wageni, lakini maskini wa nchi hii ndo wanazidi kunyongwa
 
Back
Top Bottom