BOB LUSE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 3,738 Reaction score 3,199 Apr 18, 2024 #1 Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini. Kwa miaka mingi, wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo. Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi gani, kuepuka double standard
Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini. Kwa miaka mingi, wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo. Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi gani, kuepuka double standard
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Apr 18, 2024 #2 Bagoshaa 😊
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Apr 18, 2024 #3 Nichek taarifa ya habari hapa ITV wastaafu wanalalama mpaka huruma😡😡
michibo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,315 Reaction score 3,915 Apr 18, 2024 #4 Dawa ni kugoma kustaafu tu.
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Apr 18, 2024 #5 michibo said: Dawa ni kugoma kustaafu tu. Click to expand... Unagomaje?! WAKATI Ni kwa mujibu wakati vijana watalalama wazee hawataki kustaafu😊😊😊
michibo said: Dawa ni kugoma kustaafu tu. Click to expand... Unagomaje?! WAKATI Ni kwa mujibu wakati vijana watalalama wazee hawataki kustaafu😊😊😊
B Bando la wiki JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 911 Reaction score 3,017 Apr 18, 2024 #6 Hii nchi iko wazi sana kwa wageni, lakini maskini wa nchi hii ndo wanazidi kunyongwa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 18, 2024 #7 Expetriate... Cc: Mahondaw
ROOM 47 JF-Expert Member Joined May 23, 2022 Posts 2,301 Reaction score 7,460 Apr 18, 2024 #8 Ok sawa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Apr 19, 2024 #9 Smart911 said: Expetriate... Cc: Mahondaw Click to expand... Sio fair kabisa lo