Nahakikisha watu wote wanaoishi kwa kutegemea hiki kijimshahara changu kutoka kwa JK na mimi mwenyewe hatumpigii Kura CCM na Kikwete.
1. Alizikataa mwenyewe,
2. Alisema atatutumia Polisi watuchape tukiandamana
3. Kasababisha mfuko mkubwa wa bei
4. Analea mafisadi
5. Hayuko serious na vitu vya maana kitaifa
6. Kateua wasaidizi wanaomdanganya
7..............................etc
Ni msanii,anapenda kuomba misaada kwa wahisani,mfano aliomba net kwa bushi.badala ya kutafuta soko la tanzanite na dhahabu anatafuta msaada wa net merekani
wana jf naomba mnifahamishe je, ni kweli kima cha chini kimeongezwa kutoka 135,000 cha julai hadi 260,000? Nipeni news kama ni kweli kwa aliesikia au anaejua kuhusu hili. Slaa oyeeee!
wana jf naomba mnifahamishe je, ni kweli kima cha chini kimeongezwa kutoka 135,000 cha julai hadi 260,000? Nipeni news kama ni kweli kwa aliesikia au anaejua kuhusu hili. Slaa oyeeee!
Kuna tatizo hapa... Makampuni binafsi na wafanyabiashara wanachangia ccm, je serikali inaweza kuwabana waongeze mshahara?
Angalia, bei za bidhaa zimepanda, zinazalishwa na kuuzwa na wafanyakazi. Sasa kama bei za vitu zimepanda na faida pia ni kubwa. Na mfumuko wa bei za bidhaa unawapa faida kubwa.
Je inakuwaje wafanyabiashara washindwe kuongeza mshahara wa wafanyakazi?
Naomba tujadili hili na tupendekeze hatua za kuchukuwa ili wafanyakazi wa sekta binafsi watendewe haki.
dk slaa anazihitaji kura za wafanyakazi private sekta
Hata kama ameongeza, hiyo tunaweza kuita TAKRIMA kabla ya uchaguzi, maana alisema hata kwa miaka minane hawezi kuongeza!! TAKUKURU wafanye kazi yao? Huyu JK mwongo kwanini tuendelee kumpa kura tusiwe "popo" na "kong'ota" tukampa Slaha? Hela za kuongeza mishahara zimetoka wapi hata kabla ya miezi minne kuisha tangu atanngaze kuwa haiwezekani na serikali haina hela ya kuongeza mishahara? Huyu laghai sana tukimpa tena ikulu atatamba sana kuwa kura zetu hakuzihitaji na bado kashinda!!!!
Hii ni TAKRIMA si nyongeza ya mishahara. Akisihinda nyongeza nyingine itakuwa 2016! Kura kwa anayezihitaji.