Nawakaribisha wafanyakazi wote wa Tanzania kwenye Chama chetu cha kubet
Kwa macho na Masikio yako umesikia mwenyewe kutoka kwa JPM ,hakuna nyongeza mpaka miradi ya umeme na reli na mabarabara yatapokamilika hapo itakuwa 2050
Hivyo nakukaribisha kwenye kijiwe chetu cha kubeti,unaweza ukapata na hela ya nauli kwenye daladala au ya upangaji
Kampuni za kubeti ni nyingi sana ndani na nje ya nchi,
Karibuni wafanyakazi,ila poleni kwa yaliyowakuta