Wafanyakazi wa BoT waliochana noti za Tsh. Bilioni 4.6 hali tete

Hadi kutekeleza tukio hilo chanzo nini?Walipimwa akili?
 
Pale BoT tuko na wachaga wengi kuna wengine waliingia kimagumashi wakaanza kutafuta vyeti kwa kujiendeleza wakiwa palepale

Acha tu turudi kwenye mada: HAWA WEZI INATAKIWA WAWAJIBISHWE LIWE FUNDISHO
Kama walijiendeleza safi sana! Ila kwa wizi wote wahukuliwe hatua za kisheria na kali ili iwe mfano kwa wote.
 
Kweli kabisa na hii inatokana na ukweli kwamba hawa wezi wa fedha za umma hawachukuliwi hatua kali ili iwe mfano kwa watoto wetu. Watoto wetu wangeona baba zao na mama zao wanafungwa jela kwasababu ya wizi wa fedha za umma wangekuwa wakijua athari zake. Lakini hapa mtu anaiba mabilioni anajilimbikizia mali na hukumu anaambiwa alipe milioni tano. Hivi nani ataogopa kuiba kwa mtindo huo?
 
Ila wanaofanya kazi BOT wana raha sana
 
Wananchi wapi hao wanaoweza kuchukua hatua mkuu?watz hawa hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…