Mkuu ukiwa boss ukisha anza kutafuna mfanyakazi basi hata ufanisi wa kazi unapungua kabisa fanya research home kandamiza house girl uone kama unabisha
Ngoja niwape vijitips vya kupatia huduma nzuri kwenye mabenki yetu, uwe na salio nono kwenye account, vaa vizuri na uongea kiingerereza kama sio kiswahili kwa taabu,jaribu kwenda kwa the same teller kila siku-umjue jina nae ajue lako, uwe unamwachia 'hela ya chai',etc hapo utatetemekewa na kuhudumiwa kama mfalme!
Nilienda NBC tawi la k/koo kuingiza pesa zilikuwa nyingi BULK MONEY nilifika pale saa 4 matokeo yake nilitoka saa 8 kasoro cha ajabu watu tunarushwa tu wanakuja watu wanahudumiwa juu kwa juu nililaani sana bora ningepanga foleni tu.
Mkuu hii sasa ni rushwa sijui TAKUKURU ukiwalengesha wanaweza washughulikia?
Kama una malalamiko CRDB yatume kwa mabosi wao.
Dr. Charles Kimei (Managing Director): cskimei@crdbbank.com
Deputy Managing Director: jopedersen@crdbbank.com
Bosi wa Customer care: customer-hotline@crdbbank.com
Nafikiri wakipata malalamiko toka kwa watu wengi itabidi washituke kulikoni na kuwaelimisha hao wafanyakazi wao. Kweli customer care ni ziro kabisa. Wengine wanadiriki hata kukufokea au kukujibu hovyo pale unapotaka kujua zaidi kuhusu kitu fulani.
Ngoja niwape vijitips vya kupatia huduma nzuri kwenye mabenki yetu, uwe na salio nono kwenye account, vaa vizuri na uongea kiingerereza kama sio kiswahili kwa taabu,jaribu kwenda kwa the same teller kila siku-umjue jina nae ajue lako, uwe unamwachia 'hela ya chai',etc hapo utatetemekewa na kuhudumiwa kama mfalme!
aah Bellies atulie maslahi ya taifa kwanza.....Sasa mzee tukifanya hivi Bellies atanielewa? utatongoza wangapi? Posta, Airport vile vieahosites, mabenki, ofisi mbali mbali za serikali ni mwendo huo huo vidada vinajidai kweli ...hasa vinapokula uroda na maboss hata huduma kwa umma ni shida!
Kama una malalamiko CRDB yatume kwa mabosi wao.
Dr. Charles Kimei (Managing Director): cskimei@crdbbank.com
Deputy Managing Director: jopedersen@crdbbank.com
Bosi wa Customer care: customer-hotline@crdbbank.com
Nafikiri wakipata malalamiko toka kwa watu wengi itabidi washituke kulikoni na kuwaelimisha hao wafanyakazi wao. Kweli customer care ni ziro kabisa. Wengine wanadiriki hata kukufokea au kukujibu hovyo pale unapotaka kujua zaidi kuhusu kitu fulani.
Mkuu hao manyangumi hata utume email unajisumbua tu mbona bank pale kuna kasanduku kamaoni na sijui kama iwa wanafungua kusoma maoni.
Hawa viongozi ndo wanaonyesha tabia mbaya ndo maana wafanyakazi wanafanya kazi kwa kujivuta vuta si anamwona Charles Kimei anavyo jivuta vuta unategemea atawakemea?
Naomba Mungu ukoloni uje utunyoshe angalau kwa miaka 10 hivi naona watu watanyoka maofisini humo ni mboko tu.