Wafanyakazi wa hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma wapewe maua yao

Nilipata maumivu ya kichwa nikahudumiwa na dr humba na ninaendelea vzr tofauti na awali...yupo sawa yule dr aendelee na bidii ya kazi atafika mbali.
 
Sahihi kabisa, wale ni taasisi ya serikali inayojitegemea, kama MNH, NHIF, JKCI. MOI na ORCI. Mishahara Yao ni mikubwa mno, kuliko wafanyakazi wanaofanya kazi hospitali za kawaida za mikoa, wilaya na kushuka chini.

Ukiona wafanyakazi wana makasiriko au wametanguliza rushwa mbele, ujue wana frustrations za maslahi madogo ya kazi yao iliyokubwa.

Pale wapo hadi maprofesa japo ni wachache, mabingwa wa juu bobezi(super specialist wapo pia, wana degree tatu), mabingwa wa kawaida/specialists, wenye degree mbili, hao ndo wapo wengi sana. Unachagua tu ukatibiwe na bingwa yupi, unamtaja jina kabisa.
 
Nilipata maumivu ya kichwa nikahudumiwa na dr humba na ninaendelea vzr tofauti na awali...yupo sawa yule dr aendelee na bidii ya kazi atafika mbali.
Neurosurgeon huyo, bingwa wa upasuaji wa ubongo, ugwe mgongo na mishipa ya fahamu. Kasoma udaktari jumla miaka 11. Na bingwa wa idara hiyo yupo mmoja tu Kanda nzima ya kati yenye mikoa mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…