Tetesi: Wafanyakazi wa kiwanda cha kahawa Moshi wagoma

Tetesi: Wafanyakazi wa kiwanda cha kahawa Moshi wagoma

Joined
Mar 1, 2016
Posts
49
Reaction score
13
Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma kwasababu hawajalipwa mishahara ya miezi nane.

Hawajalipwa mishahara ya miezi nane
 
Hebu fafanua vizuri habari yako. Kwanini wagome ?
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh miezi nane no mshahara huu kama uongo vile unakula nini
 
Back
Top Bottom