kibanga mkolon Member Joined Mar 1, 2016 Posts 49 Reaction score 13 Mar 2, 2016 #1 Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma kwasababu hawajalipwa mishahara ya miezi nane. Hawajalipwa mishahara ya miezi nane
Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma kwasababu hawajalipwa mishahara ya miezi nane. Hawajalipwa mishahara ya miezi nane
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,673 Reaction score 1,875 Mar 2, 2016 #2 Hebu fafanua vizuri habari yako. Kwanini wagome ?
Jindal Singh JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 1,857 Reaction score 1,538 Mar 2, 2016 #3 Wanamadai gani?
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Mar 2, 2016 #4 duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh miezi nane no mshahara huu kama uongo vile unakula nini
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Mar 2, 2016 #5 THE RICHARDS said: duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh miezi nane no mshahara huu kama uongo vile unakula nini Click to expand... Mkuu unashangaa hiyo?? Mbona sehemu nyingi ni kawaida??
THE RICHARDS said: duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh miezi nane no mshahara huu kama uongo vile unakula nini Click to expand... Mkuu unashangaa hiyo?? Mbona sehemu nyingi ni kawaida??
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Mar 2, 2016 #6 kibanga mkolon said: Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma Click to expand... Kinaitwaje hicho kiwanda??
kibanga mkolon said: Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma Click to expand... Kinaitwaje hicho kiwanda??
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Mar 2, 2016 #7 Katavi said: Mkuu unashangaa hiyo?? Mbona sehemu nyingi ni kawaida?? Click to expand... sasa hiyo sio kazi bali sawa na kufanya bure tu au ni saa mbili kazini zingine unaenda issue zako?
Katavi said: Mkuu unashangaa hiyo?? Mbona sehemu nyingi ni kawaida?? Click to expand... sasa hiyo sio kazi bali sawa na kufanya bure tu au ni saa mbili kazini zingine unaenda issue zako?
kibanga mkolon Member Joined Mar 1, 2016 Posts 49 Reaction score 13 Mar 2, 2016 Thread starter #8 T.C.C.CO