Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
Kampuni inazingatia kima cha chini Cha mshahara kwa mjibu wa serikaliBoss ungeweka wazi kima cha chini watu tujipime
Nakutumia maombi mkuu, mi niko mkoani ndiyo maana nilitaka kujua mapema kabla cjafanya maamzi ya kuhamia huko Dar kama itakupendeza lakini hata PmKampuni inazingatia kima cha chini Cha mshahara kwa mjibu wa serikali
Nitumie tu MkuuNakutumia maombi mkuu, mi niko mkoani ndiyo maana nilitaka kujua mapema kabla cjafanya maamzi ya kuhamia huko Dar kama itakupendeza lakini hata Pm
Karibu sanaNgoja nijaribu bahati ya kuwa msambaza chakula
Mkuu nauliza bado nafasi zipo za kazi?Sifa
- Uzoefu wa kupika vizuri vyakula mbalimbali na vitafunwa
- Mpishi wa chips katika ubora unaokubalika
- Muandaaji wa juice aina mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu
- Uzoefu wa kuhudumia wateja ikiwemo kuwafuata maeneo yanayozunguka na kukusanya oda
- Uwezo wa kujitoa na kutimiza wajibu bila kusimamiwa
- uwezo wa kufika kazini mapema na kuandaa mahitaji kutegemea na majira mfano mahitaji ya asubuhi, mchana, jioni
- Lugha nzuri kwa wateja, wafanyakazi na nidhamu ya hali ya juu sana
- Msafi na anayejali kazi yake
- Mwaminifu katika kutimiza wajibu wake
Ajira zitakuwa ni za mkataba wa mwaka mmoja mmoja na zitaongezwa kutegemea na utendaji wa mfanyakazi
Kipaumbele kitatolewa kwa wakazi wa Dar Es Salaam
Mshahara ni makubaliano ya pande mbili
NB: Kwa aliye tayari kufanya kazi atume CV kwa whatsap kabla ya jumatano tarehe 15/04/2020 kwa namba 0765374146.
Karibuni Sana
Karibu Bado zipo MkuuMkuu nauliza bado nafasi zipo za kazi?
Mkuu naona tangazo limejieleza Mkuu, vipaumbele ni wakazi wa DSMmkuu ungeweka wazi hyo kazi iko wapi? kama ni dar ni wap? maana mtu aweze kujitasmini maana wengine wanakaa mbali na mishahara yenyewe unaijua mkuu. kama kweli unania ya kusaidia
Karibu sanaNgoja nijaribu bahati ya kuwa msambaza chakula
Hii tayari imejaa Mkuu
Macheap labour pangeni foleni hapaSifa
- Uzoefu wa kupika vizuri vyakula mbalimbali na vitafunwa
- Mpishi wa chips katika ubora unaokubalika
- Muandaaji wa juice aina mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu
- Uzoefu wa kuhudumia wateja ikiwemo kuwafuata maeneo yanayozunguka na kukusanya oda
- Uwezo wa kujitoa na kutimiza wajibu bila kusimamiwa
- uwezo wa kufika kazini mapema na kuandaa mahitaji kutegemea na majira mfano mahitaji ya asubuhi, mchana, jioni
- Lugha nzuri kwa wateja, wafanyakazi na nidhamu ya hali ya juu sana
- Msafi na anayejali kazi yake
- Mwaminifu katika kutimiza wajibu wake
Ajira zitakuwa ni za mkataba wa mwaka mmoja mmoja na zitaongezwa kutegemea na utendaji wa mfanyakazi
Kipaumbele kitatolewa kwa wakazi wa Dar Es Salaam
Mshahara ni makubaliano ya pande mbili
NB: Kwa aliye tayari kufanya kazi atume CV kwa whatsap kabla ya jumatano tarehe 15/04/2020 kwa namba 0765374146.
Karibuni Sana
Uko wapi na mshahara bei gan? Naomba kujua dada angu mana hali ni ngumu na ntaifanya kwa moyo