1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku.
2. House girl ahusishwe kwenye shughuli za kujumuika kifamilia - Kuanzia Kula pamoja, kutoka out, kwenda kanisani/ msikitini, Birthday kama wengine wanafanyiwa, n.k. Haina mantiki house girl awe anallia jikoni, awe anaachwa kila familia ikitoka out, n.k. utadhani mtumwa
3. Kuwe na mikataba ya kazi anazoenda kufanya housegirl, nje ya hapo kuwe na malipo ya ziada - imekuwa ni kawaida wahitaji kumwambia binti atakuja kufanya kazi chache lakini akifika anapewa majukumu mengi kuamka alfajiri kulala saa tano usiku, kuwe na mkataba utaomlinda.
4. House girl ni lazima aripoti kila mwezi kwa afisa ustawi - Hii ni kufuatilia muenendo wa hali yake kuanzia malipo, kufatilia kazi anazofanya, kupewa uhuru wa kuendelea au kurudi kwao, n.k.
5. Boss awajibike kumuandaa house girl kujitegemea - iwe ni kumpeleka fundi ya ushonaji, ususi, n.k. inabidi house girl awe anaweza kujitegemea anavyoondoka.
Waelimishwe haki zao, Maboss wakikiuka walipishwe faini nzito au kifungo.
PIA SOMA
- Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani