Zidovudine 300mg
Member
- Jun 4, 2024
- 13
- 21
Wafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu, mama mzazi amekosa pension yake kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakuja ila hawaji, ukiendelea kuwapigia hawapokei then wanaku-block
Kuna mfanyakazi anaitwa Gabriel muongo anadanganya wateja watu umri umeenda ni wastaafu lakini bado hatimizi majukumu yake
Tunaomba mamlaka husika nichukue hatua.
Kuna mfanyakazi anaitwa Gabriel muongo anadanganya wateja watu umri umeenda ni wastaafu lakini bado hatimizi majukumu yake
Tunaomba mamlaka husika nichukue hatua.