Zidovudine 300mg
Member
- Jun 4, 2024
- 13
- 21
Huwa wanataka chochochote wasogeze file lako na process zifanyike fasta bila hivo hawakupi huduma stahiki kwa taarifa yako km ulikuwa hujui hujuma zaoWafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu ,mama mzazi amekosa pension yake Kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakula hawaji,ukiendelea kuwapigia hawapokei then Wana Ku block kuna mfanyakazi anaitwa Gabriel muongo anadanganya wateja watu umri umeenda ni wastafuu lakini bado hatimizi majuku yake Tunaomba mamlaka husika nichukue hatua
Pambaf..Wafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu ,mama mzazi amekosa pension yake Kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakula hawaji,ukiendelea kuwapigia hawapokei then Wana Ku block kuna mfanyakazi anaitwa Gabriel muongo anadanganya wateja watu umri umeenda ni wastafuu lakini bado hatimizi majuku yake Tunaomba mamlaka husika nichukue hatua
Kweli kabisa Poti ......urasimu mwingi kama pesa ni zaoHaya ni maujinga ya PSSSF zote Tz, wapumbavu sana wale watu. Wanaleta urasimu ili usichukua mafao. Washukuru sheria za JF Ningewashushia matusi ya nguoni
Pumbaf. Kwani hiyo ofisi Ni kampuni ya babako? Wewe si ni kibaka tu hata qualification huna! Interview hujafanya mbwa wewe unaona kunyanyasa watu pasipo na sababu Ni ujanja.Pambaf..
Unapotea malalamiko serious humu jf tumia id fake..
Utarud tena hapa ofisini na ni.eshakuona kwenye mfumo
Ni mgonjwa anatakiwa kwenda kuhakikiwa nyumbani tumepigwa simu tumewambia hata nauli waje tutawalipia wanasema wanakuja hawaji Hadi pay rool ya mwezi wa Sita imepita hakupata pension tulitakiwa tumpeleke hospital tumekwama.wanapigiwa simu toka tarehe moja wanasema kila siku wanakuja hawaji tunahofia atakosa pia pension mwezi huu kumtoa Bunda kwenda Musoma Kwa Hali yake sio chini ya 300kPole sana!
Mama yako amekwama katika hatua ipi mkuu
Aisee pole sana mkuuNi mgonjwa anatakiwa kwenda kuhakikiwa nyumbani tumepigwa simu tumewambia hata nauli waje tutawalipia wanasema wanakuja hawaji Hadi pay rool ya mwezi wa Sita imepita hakupata pension tulitakiwa tumpeleke hospital tumekwama.wanapigiwa simu toka tarehe moja wanasema kila siku wanakuja hawaji tunahofia atakosa pia pension mwezi huu kumtoa Bunda kwenda Musoma Kwa Hali yake sio chini ya 300k
Pqmbaf..Pumbaf. Kwani hiyo ofisi Ni kampuni ya babako? Wewe si ni kibaka tu hata qualification huna! Interview hujafanya mbwa wewe unaona kunyanyasa watu pasipo na sababu Ni ujanja.
Shitman.....
Akirudi hapo ananipa mrejesho ndio utajua nchi hii Kuna waliokuzidi vyeo, pesa, akili hata umri.