Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hao waturuki wanamalizia pesa kwenye kitimoto na watoto wa kike pale itigi n hatari sanaBaadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.
Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR, Yapi Merkezi hajakamilisha malipo hayo ya Desemba huku kukiwa hakuna taarifa rasmi juu ya kinachoendelea au lini malipo yatafanyika.
Taarifa zilizopatikana ni kuwa Wafanyakazi waliogoma ni wa Ilala, Dar es Salaam, Tabora, Dodoma pamoja na wale wa Kambi ya Itigi Mkoani Singida, ambapo wanataka uongozi wa Yapi utoe majibu juu ya malipo ya stahiki zao hizo.
View attachment 2863517
Kazi kweli kweli.Huyu mkandarasi wa mchongo Yarpi Merkez si afunuzwe?Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.
Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR, Yapi Merkezi hajakamilisha malipo hayo ya Desemba huku kukiwa hakuna taarifa rasmi juu ya kinachoendelea au lini malipo yatafanyika.
Taarifa zilizopatikana ni kuwa Wafanyakazi waliogoma ni wa Ilala, Dar es Salaam, Tabora, Dodoma pamoja na wale wa Kambi ya Itigi Mkoani Singida, ambapo wanataka uongozi wa Yapi utoe majibu juu ya malipo ya stahiki zao hizo.
View attachment 2863517
Dodoma ofisi ya HR anaulizwa unalipa lini ela za mishahara anajibu tena kwa kujiamini maybe Monday kweli ni sawa wangetoa taarifa mapema kua mshahara wa mwezi wa 12 utachelewa watu wasingekua na hamaki kuliko kukaa kimya mpaka siku yakutoa mshahara na siku kuongezeka YAP inakoendea imeshashindwa kumaliza mradiBaadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023.