Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters walilia mishahara yao

Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters walilia mishahara yao

Sir mbise

New Member
Joined
May 5, 2024
Posts
2
Reaction score
0

Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters Ministries Mkoa wa Mwanza wasotea madai yao kwa miezi mitatu bila mafanikio baada ya kufukuzwa kazi kwa madai ya Shirika alina uwezo wakuendelea kuwalipa mishaara.

Baadhi ya Wafanyakazi walifukuzwa wamesema changamoto hiyo ilisababishwa na wahisani kwa kushindwa kuelewana.

Soma Pia:Wafanyakazi mgodi wa CATA Mining Mara, waanza mgomo kushinikiza kulipwa mishahara, michango NSSF

Aidha licha ya juhudi zao zote za kudai madai yao hadi kufika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza lakini wakuweza kuonana na Mkuu wa Mkoa huo ili kuwasilisha malalamiko yao na kupata msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom