figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?
Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani.
Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata hatujawahi kumuona wala kushirikishwa? Tunaona mitandaoni.
Kwanini wafanyakazi wa Tanzania tunajipendekeza hata kwa mambo ya kisiasa. Tunalazimishwa na wakubwa ili tuonekane. Tunavishwa ngozi ya Kondoo.
Tunalishwa maneno na kulazimishwa.
Maharage anapewa asante ya nini? Kafanya nini?