figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Maharage Chande hana mafanikio kila taasisi anayo ongoza lazima iende mrama, huyu ndiye aliyeifilisi NBC hadi ikataka kufaBaadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?
Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani.
Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata hatujawahi kumuona wala kushirikishwa? Tunaona mitandaoni.
Kwanini wafanyakazi wa Tanzania tunajipendekeza hata kwa mambo ya kisiasa. Tunalazimishwa na wakubwa ili tuonekane. Tunavishwa ngozi ya Kondoo.
Tunalishwa maneno na kulazimishwa.
View attachment 2760698View attachment 2760699View attachment 2760700
Nchi inayoendeshwa kwa utamaduni wa kichawa chawaBaadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi?